1. Welcome to NoFap! We have disabled new forum accounts from being registered for the time being. In the meantime, you can join our weekly accountability groups.
    Dismiss Notice

Jarida langu- kusafiri njia

Discussion in 'International Discussion' started by Njegere, Feb 17, 2022.

  1. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Mambo vipi wazee! Jina langu ni Njegere. Natoka Marekani. Nimefurahi kukutana na wote. Nilaanza kufanya PMO ambayo nilikuwa mtoto sana. Nilitumia PMO kutoka hisia kali na lazimu yangu. Nilipohudhumia chuo kikuu hufanya PMO sana. Nilaanza kupona miaka 8 iliyopita baada ya kuhitimu chuo kikuu. Nimefurahi kuwa njiani kwa kupona.

    Nina siku 52 bila PMO leo. Sikuwa na majaribu wiki hii. Nitaendelea kufanya bora. Asante kwa kusoma. Unaendeleaji?
     
    Last edited: Feb 17, 2022
  2. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Leo ipo usiku moja kwa mimi. Nilifanya PMO jana. Mvua ilinyesha siku nzima. Kilkuwa na giza na mawingu. Nilichoka. Nilikuwa na siku 57 kabla ya kupiga PMO. Nadhani kuwa nilikosa kwa sababu sikufanya miradi yangu kwa leo. Nilikaa mbele ya kompyuta yangu siku nzima kucheza michezo video. Nifanye kukaa mbele ya kompyuta yangu siku nzima. Nilikuwa na majaribu wingi na sikutoka. Nimejifunza bora kwa wiki kesho.

    Leo ni siku mpya. Ninaanza tena.
     
    Last edited: Feb 23, 2022
  3. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Nimepiga PMO leo. Kuanza tena. Sikutafakari asubuhi hii. Ninahitaji kutafakiri kila siku. Ninahitaji kula chakula kimoja tu kila siku pia.

    Nimesikitika kuhusu hali ya Ulaya Mashariki. Vita ni mbaya sana. Watu wengi watakufa bila ya lazima. Acha tuombe kwa watu wa Ukraine . Acah tusubiri na tu tutumaini.
     
    Last edited: Mar 2, 2022
  4. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    PMO leo. Nimechoka.
     
  5. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Bila PMO leo. Ninasikia bora. Ninakumbusha mwenyewe kuwa ni mimi ambao ninawajibika kwa ufufuzi wangu. Hakuna mtu anaweza kufanya huu kwa ajili yangu. Huu ni katika mikono yangu.

    Ninatumia wakati wangu kujifunza lugha na kutembea nje. Hali ya hewa ni nzuri leo. Jua linaangaaza, na hewa ni moto. Kuna matope sana, labda njia ilisafishwa. Nimetembea na mbwa wangu leo. Tumepepea. Tumekwenda paki.

    Nadhani nitacheza machezo ya video leo. Ninacheza Witcher 2 sasa hivi.
     
  6. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Nimefurahi msimu wa kukua unakufa. Ndege anaimba, na niliona ua ya kwanza kwa mwaka huu. Wiki iliyopita si zuri. Nilipiga PMO kwa mara tano. Labda ninasikis bora leo. Nimetafakari asubu leo na nimefanya mazoezi pia. Nilienda kutembea pia na mbwa wangu. Alifurahi. Nywele zake ni ndefu sana, ninahitaji kutafuta kinyozi kuzikata.

    Siku 2 nadhani. Niko sawa.
     
  7. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Nilikula chakula kimoja tu jana. Nimefurahi.
     
  8. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Bila PMO. Labda nilikula mkate leo, na zaidi ya mlo moja. Nitaanza tena kesho. Ninahitaji kupoteza uzito mwingi.
     
  9. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    PMO leo. Nitaanza tena kesho. Ninasikiliza The Gospel of Shri Ramakrishna sasa.
     
  10. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Ninahisi bora. Siku mbili leo. Nilijinfunza baadhi ya Kihispania leo. Nilipiga harmonium yangu. Ninapendo kuimba nyimbo za kiroho. Bwana yangu, niambie kuwa mimi niko mtoto wako. Ninakutegemea kwa kila kitu.

    Nitamwomba Mungu kunisaidia majaribu yanapokuja. Mungu ni boma langu, ni msaada wangu, na ngao yangu.
     
  11. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Nimepiga mara mbili leo.
     
  12. Njegere

    Njegere Fapstronaut

    13
    5
    3
    Bila PMO siku 9.
     

Share This Page